Askofu Gwajima katika Ibada ya Jumapili amezungumzia vitu/watu watatu nchi Tanzania.
Amezungumza kuhusu Diamond kumshambulia katika wimbo wake, na amesema mtu wa Mungu huwa hashambuliwi na binadamu. Amedai kuwa atazungumzia kuhusu Diamond kujiunga Chama cha Freemason na alijiunga lini, wapi na kafara gani alitoa ili aweze kukubaliwa kujiunga. Mchungaji Gwajima alishusha pumzi na kusema hatamoiga Diamond baada ya Diamond kujirudi na kumuomba msamaha Askofu Gwajima. Mchungaji Gwajima ameinukuu Biblia na kusema inakataza kumchapa/kumpiga mtu aliyeomba msamaha.
Kama vitisho afungue domo!!! Aone mvua itavyomnyeshea siri zote tuzijue. Nyoooooo.
ReplyDeleteMbona wako wengi Freemason?
hiyo nyooooo unamtukana nani kama siyo wanaokuhusu, pumbafu sana hata hakiri huna
DeleteHamna kitu hapo.huyu jamaa ni tapeli.alag km kadata hiv.kesha malizwa hyu.chezea ccm we..kwisha..
ReplyDelete