Hatareee..Askofu Gwajima Afichua Jinsi Diamond Alivyojiunga na Freemason ,Ataja Aina ya Kafara Aliyoitoa Ili Afanikiwe..!!!


Askofu Gwajima katika Ibada ya Jumapili amezungumzia vitu/watu watatu nchi Tanzania. 

Amezungumza kuhusu Diamond kumshambulia katika wimbo wake, na amesema mtu wa Mungu huwa hashambuliwi na binadamu. Amedai kuwa atazungumzia kuhusu Diamond kujiunga Chama cha Freemason na alijiunga lini, wapi na kafara gani alitoa ili aweze kukubaliwa kujiunga. Mchungaji Gwajima alishusha pumzi na kusema hatamoiga Diamond baada ya Diamond kujirudi na kumuomba msamaha Askofu Gwajima. Mchungaji Gwajima ameinukuu Biblia na kusema inakataza kumchapa/kumpiga mtu aliyeomba msamaha.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kama vitisho afungue domo!!! Aone mvua itavyomnyeshea siri zote tuzijue. Nyoooooo.

    Mbona wako wengi Freemason?

    ReplyDelete
    Replies
    1. hiyo nyooooo unamtukana nani kama siyo wanaokuhusu, pumbafu sana hata hakiri huna

      Delete
  2. Hamna kitu hapo.huyu jamaa ni tapeli.alag km kadata hiv.kesha malizwa hyu.chezea ccm we..kwisha..

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad