Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi (NEC) Ramadhan Kailima akizungumzia uteuzi huo alisema CCM ilipeleka jina la Mchungaji Rwakatare ambapo walipitia fomu zake na kuridhika kuwa ana sifa za kuwa mbunge.
Mchungaji wa Kanisa la Assemblies Of God Mikocheni B jijini Dar es Salaam, Dk Getrude Rwakatare amechaguliwa kuwa Mbunge wa Viti Maalum kujaza iliyoachwa wazi na Sophia Simba.
Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi (NEC) Ramadhan Kailima akizungumzia uteuzi huo alisema CCM ilipeleka jina la Mchungaji Rwakatare ambapo walipitia fomu zake na kuridhika kuwa ana sifa za kuwa mbunge.
Sophia Simba ambaye alikuwa mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) alifukuzwa uanachama wa chama hicho kwa madai ya ukiukwaji wa maadili ya chama Machi 11, mwaka huu hali iliyomfanya kukosa sifa ya kuendelea kuwa mbunge kwa mujibu wa Katiba ya nchi.
ILE BIASHARA NA HII NI KAZI..UKIANGALIA SANA KULE MPAKA WAUMINI WACHANGISHANE JPILI WAKATI BUNGENI KWANZA PYE LILE GARI LA KIFAHARI MNALIJUA MSHAHARA WA UHAKIKA POSHO nk..SASA MMESADIKI KM ILE NI BIASHARA?NA BIASHARA MATANGAZO SHARTI UPIGE SANA DOMO KM NGWAJIMA ILI UWAPATE WAUMINI WENGI SAMBAMBA NA MICHANGO KUNONA..BY Peter John-mpwapwa..
ReplyDeleteENEZA DINI BUNGENI.JE KUNAWABUNGE WANGAPI WASIOKUWA WAKRISTO KWA SASA.NCHI YA TANZANIA HAINA DINI. MTU BINAFSI NDIO ANADINI .TUSIBAGUANE.
ReplyDelete