Yanasikika mashairi huko yakimdiss Roma mkatoliki kwa kuiponda serikali,
hakuna atakayekuachia ukiipotosha umma
Eti unajiita Roma, kardinali hakutambui, huna unachoongea unajiumauma
Unajiinamisha mkatoliki kumbe mfuasi wa Gwajima
Mziki wa Magufuli utauweza??
USIKILIZE HAPA:
Umejiandaa lakini kwa upande wa Gwajima, maana hiyo idara ya 'MALUMBANO' ndio hobby yake....angalia na wewe usigeuzwe maji-taka
ReplyDelete