INSPEKTA Aachia Diss Kali Kwa Roma.. "Unajiita Mkatoliki Wakati Unasali kwa Gwajima?"

Yanasikika mashairi huko yakimdiss Roma mkatoliki kwa kuiponda serikali,
hakuna atakayekuachia ukiipotosha umma
Eti unajiita Roma, kardinali hakutambui, huna unachoongea unajiumauma
Unajiinamisha mkatoliki kumbe mfuasi wa Gwajima
Mziki wa Magufuli utauweza?? 

 USIKILIZE HAPA:
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Umejiandaa lakini kwa upande wa Gwajima, maana hiyo idara ya 'MALUMBANO' ndio hobby yake....angalia na wewe usigeuzwe maji-taka

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad