Dodoma. Rais John Magufuli amekabidhiwa majina ya watumishi wenye vyeti feki na kutaja jina la kwanza la mtu aliyetajwa kwenye ripoti hiyo.
Alimtaja mtu huyo kuwa ni Abadallah Polea, ingawa hakueleza ni wa wapi na aliajiriwa katika sekta ipi ya umma.
Amekabidhiwa ripoti hiyo na Waziri wa Utumishi, Angela Kairuki mjini Dodoma leo.
mbona makonda hajatajwa? what typemof a president tanzania's have? ooh i ambgoing crazy i don't believe this ooh no
ReplyDeleteMAKONDA ANACHO CHETI HALALI.ILA BASHITE NDIE ASIEKUWA NA CHETI.
ReplyDelete