KENYA Yapiga Marufukuu Uingizaji wa Gas Kutoka Tanzania..!!!


Serikali ya Kenya kupitia Katibu Mkuu wa wizara ya nishati na madini amepiga marufukuu uagizaji wa gesi kutoka Tanzania kupitia mipakani ya nchi hizo.

Katibu mkuu huyo amesema gesi itaaingia Kenya kupitia bandari ya Mombasa tu. Nia serikali ya Kenya inataka mradi wa kuweka gesi hizo kwenye mitungi uwekezwe Kenya.

Siku za hivi karibuni kutokana kwa kupatikana kwa gesi hapa Tanzania wakenya waliagiza mitungi ya gesi kupitia mipakani mwa nchi hizo mbili. Gesi kutoka Tanzania ilinunuliwa kwa bei nafuu.

sources: Daily Nation of Kenya.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad