KIGOGO Richmond Aibwaga Serikali Kortini, Ndo Naelewa Kwanini Mwakyembe/CCM Hawaendi Mahakamani..!!!


Kwa ufupi:

Kigogo mmoja jana kaachiwa huru na mahakama ya Kisutu baada ya serikali kukosa ushahidi wa mashitaka waliokuwa wanamshitaki nayo ushiriki wake katika kashfa hiyo hivyo mahakama ikamwachia huru.

Hii kesi ilihusu uhalali wa nyaraka wa kuileta kampuni hiyo nchini kwa sababu serikali iliadai ilikuwa ya kitapeli na serikali kushindwa kuthibitisha hilo
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad