“Yala! Yala! Jamani Mwenzenu nimeyatimba😟….. lakini mi nafkiri watu wanatakiwa waiskilize hii nyimbo kwa umakini sana tena sana na wataelewa nini ilikuwa maana yangu haswa… Hususani kama kipengele nilichomtaja mzee wangu @Bishopgwajima nilisema: “mara nasikia vya aibu Konda na Gwajima eti ugomvi umekolea….ila kuchunguza kwa karibu ni kuna binti mmoja tu ndio kwa mitandao anachochea…”
Point yangu ni kwamba licha ya kweli kuna yaliyojiri nyuma, lakini kwa busara zao ninazoamini wamejaaliwa na Mwenyez Mungu muda si mref wangekaa chini na kumaliza…nawote kufurahi kwa pamoja, lakini kwakuwa kuna dada mwingine alikua anachochea hawa ndugu zetu wazidi kufarakana…ikapelekea hadi kufikia hapa…asa hapo kosa langu mie liko wapi?😭
Chonde chonde mzee wangu @Bishopgwajima usinigeuze maji kesho 👐, mana nakujua ukimuamulia mtu…. naweza jumapili ya kesho nikaiona chungu Mwaka mzima😁😆😅,” aliandika Diamond Instagram.
Kimenukaaa..Baada ya Gwajima Kudai Kesho Atamgeuza Diamond Kuwa Maji..Diamond Aibuka na Kuandika Haya Kumjibu Askofu Gwajima..!!!
2
April 08, 2017
Tags
Eti Bashite na Gwajima wangekaa chini na kuyamaliza kiutu uzima mbona wewe unashindwa kukaa chini na Ali Kiba mkaimaliza hiyo beef yenu iliyokamaa kama kidonda ndugu waingereza walisema"CHARITY STARTS AT HOME FIRST"Upo hapo dogo?
ReplyDeleteMama yako alikuambia unyamaze hukusikia.
ReplyDelete