Kimenukaa..Gwajima Afunguka Mazito Kanisani Kwake..Adai Ametishiwa Kifo na Hata Maliza Wiki Hii Akiwa Salama..!!!


Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema kuwa ametishiwa kifo na kundi la watu asiowafahamu.

Gwajima amesema hayo alipokuwa akihubiri katika kanisa lake Ubungo, Jijini Dar es Salaam na kudaiwa kuwa vitisho hivyo vilikuja kwa njia ya ujumbe ukimtahadharisha kuwa hatamaliza wiki inayoanza.

Gwajima ni miongoni mwa washukiwa waliotajwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe unaogopa nini askofu kufa niwajibu.

    ReplyDelete
  2. Pengine Maana ya wajibu huijui. Shidaaa

    ReplyDelete
  3. mchungaji mzm hujui kuwa mtu wa mungu kuishi ni pito kufa ni faida je na watu wa mataifa wafanye nn yan ww kila ck una jipya cjui ni mtumishi wa mungu ki vp mimi kiukwel wakristo wenzangu huyu mchungaji huwa hanibariki hata kidogo japo ctakiwi kuhukumu ila mimi ni binadamu nashindwa kumuelewa kabisaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad