Kweli Wapo Wabunge Waliommiss Jakaya Kikwete...Leo Kaibuka Bungeni na Kushangiliwa Dakika Kumi

Dodoma. Rais Mstaafu wa awamu ya nne  Jakaya Kikwete ameshangiliwa kwa muda wa zaidi ya dakika 10  mara baada ya kuingia bungeni leo asubuhi.

Spika wa Bunge Job Ndugai amesema haijawai kutokea mgeni kushangiliwa katika kipindi chake chote alichokuwepo bungeni.

Bunge limeanza leo mjini Dodoma.





Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MTAMKUMBUKA TU

    ReplyDelete
  2. Huyo c mchekea wao magu c wamchezo mhezo.hapa kazi tu...

    ReplyDelete
  3. Hapa kazi tu, hamna muda wa kupoteza. Kucheka cheka

    ReplyDelete
  4. Wame miss mlaji mwenzao. Magu ni mzalendo hapa kazi tu wache na wao waisome

    ReplyDelete
    Replies
    1. NYINYI MUNAOGOPA KUSEMA UKWELI.WABUNGE WENYEWE WAMEMSHANGILIA
      CHUKI ZA BINAFSI ACHENI WAPENI WASTAFU HAKI ZAO.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad