Maandalizi ya Vita: Korea Kaskazini Yawahamisha Raia 600,000 Kutoka Mji Mkuu Pyongyang..!!!


Taifa korofi duniani, Korea kaskazini, limechukua hatua za dharura na haraka za kuhamisha raia wake wapatao 600,000 na kuwapeleka ktk miji mingine baada ya Marekani kujiandaa kuishambulia kijeshi nchi hiyo kutokana na majaribio yake ya mara Kwa mara ya makombo ya nuclear pamoja na yale ya masafa marefu. 

Sababu za kuwahamisha raia hao inadaiwa ni kutoa nafasi Kwa jeshi la kikosi cha makomandoo ili waweze kuulinda mji huo mkuu Kwa Uhuru zaidi na kuwaepushia raia madhara. 

Manowari za kijeshi za Marekani tayari Zipo ktk peninsula ya Korea zikisubiri amri ya kushambulia kutoka White House.

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hili siyo suala la ushabiki. Ninachokiona sasa ni unabii. Vita itakayotokea siyo ndogo na madhara yake hayatalalia kwa walengwa pekee. Hizi nchi zina washirika kwahiyo siyo jambo la kubeza hata kidogo. Nani yupo nyuma ya Korea Kaskazini? na ni nani yupo nyuma ya Marekani. Tuombe Mungu haya yasitokee kwani madhara yake hayatakuwa korea kaskazini au Marekani pekee.

    ReplyDelete
  2. Faustine john pamoja

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad