MADARAKA Nyerere: Picha ya Mwl. Nyerere iondolewe Kwenye Wimbo wa Diamond

Baada ya malalamiko mengi toka kwa watanzania hasa watumiaji wa mtandao wa twitter kuwa Diamond ametumia isivyo picha ya mwalimu katika cover la wimbo wake mpya, mzee madaraka ameibuka na kusihi picha hiyo iondolewe katika wimbo huo.

Itakumbukwa kuwa Mwalimu hakuwa mtu wa kukaa kimya hasa maovu yanapozidi, alikuwa akikemea.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad