Mange Kimambi Amshukia Jack Wolper, Ampa za USO Live Bila Chenga



Mange Kimambi Amshukia Jack Wolper, Ampa za USO Live Bila Chenga ni baada ya Majibizano ya Wolper na Mwigizaji Mwenzake
.
.
#Regrann from @mangekimambi_ - Huyu Wolper nae needs to take Several 💺 💺 .... .
.
Ndo maana bongo movie inakufa, wamejaa mazero brain huko! Kumbe mtu kalipwa 2 million akafanye kazi Alafu anamchamba mtu as if alitoa msaada🤣🤣. Yani anahisi yeye ndo aliemsaidia mwenzie wakati Huyo M2 ndo aliemsaidia yeye kwa kumlipa 2 Million... Huyu dada akili zake ni wereva kwa kweli....🤣🤣
.
.
Alafu kama anajiamini si awachambe Kina Nay na steve Nyerere waliowaita mataahira? Mbona kamfata Huyu mpoleee Tena ambae aliongea kistaarabu Na kwa unyenyekevu mkubwaaaaa, Yani @m2wulfat aliongea kistaarabu kidogo nisiposti video zake Alafu Eti Wolper ndo kaona Huyo ndo wakumchamba. Kama yeye mwanamke kweli amchambe @naywamitego 🙈
.
.
Alafu Eti Sasa hivi anachamba watu Eti waendeleee kuongea Maana ndo wanazidi kusambaza meseji yao.. Hawa bongo movie wanachekesha, hapo hapo wanalia njaaaa wanafosi tununue kazi zao hapo hapo wanatuchamba.... So stupid yani

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad