Mange Kimambi Amtolea Uvivu Nape Nhauye Amtaka Awaombe Msamaha Watanzania


Mange Kimambi Amtaka Awaombe Msamaha Watanzania Kwa Kufuta Bunge Live
.
By @mangekimambi_
Kaka Nape, watanzania wengi wamekusapoti ulipoamua kututafutia Haki juu ya swala la uvamizi wa clouds.... Hakika umekuwa shujaaa!!!! .
.
Lakini Mimi nawaomba watanzania wasiwe watu wa kusahau mambo haraka sana... Maana tukiendelea Na Tabia Hii ya kusahau mambo makubwa haraka sababu ya kitu kizuri kilichofanyika mwishoni basi Hata 2020 tutaichagua Tena CCM Maana 2019 Magufool anaweza kutubadilikia akawa Rais tunaemtaka sisi akamtoa Na Bashite, 2020 tukasahau mateso yoooote aliyotupa Na Bashite wake Alafu baada ya kumchagua akatugeuka tena na alamteua tena Bashite.
.
.
Nachotaka kusema ni kwamba Nape ulituumiza sana issue ya Bunge Live. Hukuwa muungwana wala mtu wa kutuhurumia wananchi ambao wengi tulilalamikia mnoooo kutolewa kwa Bunge live.Mimi I believe in forgiveness, kila mtu huwa anafanya makosa na anatakiwa apewe second chance Ila Nape wewe huja gusia kabisa ulichotutendea kwenye Bungelive. Hujajielezea kabisaaa Ni nini kilichotokea Hata kama yalikuwa ni maagizo ya mkulu unatakiwa walau utuambiwe Na ni lazma ututake radhi ! Tutakusamehe kwa roho moja lakini lazima u acknowledge kuwa ulitukosea, ulituonea Na uliingilia Uhuru wetu wa kikatiba wa kupata habari...
.
Nachoshangaaa mpaka Leo unaongelea mabaya yanayoendelea currently ambayo hayakuhusu wewe, tunaomba uongelee na mabaya uliyoyafanya wewe kama Bungelive Na mswada wa sheria za vyombo vya habari.Ili tuweze kumove on completely ni lazma uje clean kwa watanzania Na uweke kila kitu mezani. Hatuwezi kumove on na wewe as if you never wronged us! At one time Nape watanzania tulikuchukia mnooooo ni lazma u confess ili usamehewe Ila kuact like wewe toka day one ulikuwa na sisi ni unafki... ulileta badiliko kubwa mnoooo kwenye nchi Hii, baba wa taifa alikuwa Na maana yake kuweka bungelive kupitia radio sababu Bunge ni letu sisi wananchi.wewe ukaja kulitoa kwa mbwembwe zote..You cannot be a hero until you explain to us why you did what you did. Au kama bado unaamini yalikuwa ni maamuzi sahihi Na unaamini you have nothing to apologize for pia tueleze....
.
tungependa kuona juhudi zako katika kurudisha Bungelive. You have to make this right Nape.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad