Mbunge wa Chemba Juma Nkamia (CCM) amemshangaa Waziri wa Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Mwakyembe kuhudhuria press conference
Binafsi ya Msani Roma Mkatoliki,na kusema kuwa kitendo hicho kinazidisha maswali mengi Juu ya Sakata hilo.
Chanzo: Mwananchi.
uwepo wa waziri ilikuwa kutaka kuziba watu macho hapo kuna kitu? tanzania yetu ikiendelea hivi basi sijui mwisho wetu ni wapi?
ReplyDelete