Mbwana Samatta Aonyesha Mapenzi Kwa Yanga Kwa Kufanya Hili Jambo


Mchezaji Samatta akiwa amevalia uzi wa Yanga ambao ni zawadi aliyopewa na mchezaji wa klabu hiyo, Simon Happygod Msuva.⁠⁠⁠⁠

Machi 30, mwaka huu pia Mbawana samatta alimzawadia Msuva jezi yake ya Klabu ya Genk, ambapo Msuva alionekana ameivaa na kuandika jumbe huu..."#Hellow my Brother @samagoal77 I appreciate Thanks for the Gift #Popa77"

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad