MKUU wa Wilaya Ampa Masaa Diwani wa CHADEMA Kuomba Radhi kwa Kusema Mwenge Unatakiwa Kupumzishwa..!!


Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela ampa masaa diwani wa kata ya Kitwiru, Baraka Kimata (CHADEMA) kuomba radhi mara baada ya kutoa kauli jukwaani wakati akitoa salamu za Mwenge, kuwa wakipewa ridhaa wao wataupumzisha Mwenge huo kwenye makumbusho.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad