Mrisho Mpoto Kimemsibu Nini!?? Kila Kitu ni Sawa awamu hii!? Nani Kakufumba Mdomo?

Kwa Hali ya taharuki iliyopo nchini kila kukicha laiti kama ingekuwa ni awamu ile huyu Mpoto saivi angekuwa na album...

Sasa ni nani kamfumba mdomo huyu mwanamashairi maarufu asiyeona haya ikosoa Serikali..

Nakuuliza Mpoto

Mbona umekaa kimya sana!??

Kila kitu kiko sawa!??

Nani kakufumba mdomo!? Au umejifunga mwenyewe...!??

Ulivyokua wamchana Mjomba mbona sasa washindwa kwa Sizonje!??

Kuna nini Mpootooo... Nakuuliza wewe Mpoto.

By Data/JF
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mpoto nadhani hii yote ni busara. Mtoto ukimsemesha lugha tano kwa wakati mmoja mwisho atageuka bubu. Keshamwambia Sizonje watu wanapita madirishani anaona linavyoshughulikiwa hilo.Mengine ongezani na nyie

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad