MSANII Diamond Platnumz (Dangote) Aumbuka Kenya

Anaandika Javan Samora-Kenya
Msanii wa kizazi kipya Diamond Platnumz ( Dangote )  amewachefua fans wake mara baada ya kuongea Ki-ingereza cha hovyo ( Broken English ) na kuzua taharuki kwa mashabiki, Akiongea kupitia kupitia kituo cha Redio cha Class FM wakati wa kutangaza uzinduzi wa cologne (Parfume )
yake mpya, Daimond ameacha story mbaya miongoni mwa Mashabiki wake Africa na Duniani kwa Ujumla,
Hata hivyo Mtangazaji wa kituo hicho Maina Kageni wa kipindi cha Morning showz amepotezea kwa kwa kuwaambia mashabiki (Fans) kiingereza ni kwa aajili ya mawasiliano wala sio kipimo cha ujuzi.

Mytake; Mh Dangote jaribu kujitathimini kwa mtazamo wangu hauendi vizuri sana kama mwanzo so kama muziki umekushinda fanya mengine ili usiipoteze hii branding yako, Hapa Tanzania umewavuruga sana fans wako kwa kumtetea Albert Bashite pamoja na kutupia instagram post ukitukana matusi ya ajabu ajabu, Jaribu kujitadhimini upya kama ndiwe "Diomond Platnumz) tuliyemfahamu au ndio umeota mapembe tukuongezee mkia. Achana na Siasa uchwara.

BY VUGU-VUGU/JF

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. JAMANI D ISIWE KIGEZO CHA KUSEMA ETI HAJUI KINGEREZA NI MARA NGAPI DIA ANAONGEA KINGEREZA KIZURI? KWANI HAKUNA MTU ANAYEKOSEA? NANI YUKO PERFECT KWA KILA KITU? KWANZA KINGEREZA NI LUGHA YETU? KWA TAARIFA YENU HAWEZI KUSHUKA ETI KWA KUONGEA KINGEREZA KIBOVU HAKUNA CHA KUUMBUKA WALA NINI, MWANDISHI TOA SHOMBO LAKO

    ReplyDelete
  2. yaani jina lake jipya DANGOTE
    Taratibuni asiwe BILL GATES

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad