Muonekano Mpya wa Mbunge Halima Mdee Wazua Utata

Muonekano Mpya wa Mbunge Halima Mdee Wazua Utata huku Instagram, wengine wanadai kama Mh Mbunge afai kuvaa hivyo kama binti wa miaka 18, Wengine wanamsifia kapendeza

Binafsi namuona katolezea poa sana, sasa sijui mnaotokwa mapovu mlitaka avae dela au?
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwa hiyo Mbunge hana uhuru wa kuishi maisha binafsi? mlitaka avae baibu mbugani? mxxxx
    Halima piga kazi, kula nchi, Raha jipe mwenyewe.

    ReplyDelete
  2. Mnamkagua mavazi mpaka porini?

    ReplyDelete
  3. KWANI HAPO YUPO BUNGENI AU KANISANI AU MSIKITINI?SHE S STILL YOUNG...KULA MEMA YA NCHI MWAYA...HATA UNGEVAA BUIBUI WASINGEKOSA LA KUONGEA...

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad