Muonekano Mpya wa Mbunge Halima Mdee Wazua Utata huku Instagram, wengine wanadai kama Mh Mbunge afai kuvaa hivyo kama binti wa miaka 18, Wengine wanamsifia kapendeza
Binafsi namuona katolezea poa sana, sasa sijui mnaotokwa mapovu mlitaka avae dela au?
kwa hiyo Mbunge hana uhuru wa kuishi maisha binafsi? mlitaka avae baibu mbugani? mxxxx
ReplyDeleteHalima piga kazi, kula nchi, Raha jipe mwenyewe.
Mnamkagua mavazi mpaka porini?
ReplyDeleteKWANI HAPO YUPO BUNGENI AU KANISANI AU MSIKITINI?SHE S STILL YOUNG...KULA MEMA YA NCHI MWAYA...HATA UNGEVAA BUIBUI WASINGEKOSA LA KUONGEA...
ReplyDelete