Mwakyembe, Nassari Wavurugana Bungeni Kisa Swala la Paul MaKonda


Ilikuwa ni mtifuano wa kurushiana maneno kati ya Mbubge Joshua Nassari na waziri wa habari dr Mwakyembe akimhoji kwanini swala la Richmond wakati akiwa mwenyekiti wa kamati ya uchunguzi hakumhoji waziri mkuu kipindi hicho na akasimama kutoa hukumu bungeni lakini kwa swala la Bashite anadai hakuhojiwa na uchunguzi haujakamilika.

Ndipo kulizuka mtutano wa kutupiana maneno huku Mwakyembe akidai swala la Richmond hakukuwa na haja ya kumhoji kwa kuwa riport ilikuwa na ushahidi wa kujitosheleza ila kwa makonda ni ushabiki tu na hakuna ushahidi wa kujitosheleza
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hebu acheni unafik ushahidi wakutosha upo hebu clouds wairushe hewani dunia nzima ione ipelekwe cnn jamani au ndio nyinyi mwenye chongo mukasema ana kekengeza huyo paul makonda siuo bashite ni lazima achukuliwe hatua jamani kazidi nini???mbona munatutia wasi wasi tuanze kufikiria mengine au ndio ???????hebu tuambieni

    ReplyDelete
    Replies
    1. ishu inayojadiliwa ni vyeti sio kuingia Clouds - acha uvivu kusoma

      Delete
  2. Sasa Nassiri Joshua wa Wapi? Na yeye pia Mbu ' gee. Heee Mbona inachekesha. Nilivo wakuta Club 64 eti wanajificha. Kuna NINI kinacho endelea?? Kana ni ulaji Mwisho ni hapo 20, Hamlidigi .

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad