NAAMINI Atakachofanywa North Korea na Marekani Kitakuwa ni Funzo Ulimwenguni

North Korea ni Nchi ndogo sana kwa Marekani, Tukianza na Umbo hadi Teknolojia! Yaani huwezi amini mabomu wanayoyafanyia majaribio leo N. Korea wenzao marekani waliwarushiaga Japan mwaka 1945 Ni kichekesho kikubwa kwa N. Korea kutaka kupigana na Marekani! Bomu moja la nikotini 100,000 tu linaweza kuipasua North Korea na South Korea kwa mkupuo mmoja! Af mzee wa kiduku anasimama bila hata uwoga kuanza kuwatisha marekani!! aka Shetani wa dunia! aka Wababe wa historia! Wakuu wa Teknolojia, wanaoheshimiwa na warusi na wajerumani. Wazee, serious Hivi huyu kiduku amevuta bhange?

Af jambo jingine bandugu kumbukeni hii sio mechi ya mpira hili jambo linaenda kuua mamilioni ya watu ulimwenguni hivyo hatutakiwi kuwa na ushabiki wa kijinga wakati inajulikana wazi hii ni vita ya panya na simba!

By Secret Star

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hata mambo ya internet ni Marekani ndio walianza nayo wakati wa vita kuua ya 11, so they are good and wana invest sana kwenye technologia,

    ReplyDelete
  2. Unajua unachokiandka au unaandka 2

    ReplyDelete
  3. MBONA HAENDI? KUJIANDAA VIPI NA YEYE ANAMAKOMANDOS

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad