NAWAONEA Huruma Wanaume Ambayo Hawaendi GYM na Wanawaruhusu Wake zao Kwenda Gym

Kuna Gym hua naenda kufanya mazoezi hapo posta, yaani sipendi kuwaficha, huku gym wanawake hawa wanaliwa sana, mwanamme kama unafuga kitambi chako usiruhusu mke wako aje gym huku

Yaani kwa haraka haraka naona kama hawa wanawake wote members hapa wana vijana wa kuwaweka sawa(Nina marafiki wengi sana hapa so they tell me stuffs)

Ikifika mahali mwanamke ana mentality ya kua fit atatafuta a fit partner pia....

Ushauri wangu kwa wanaume ukiona mke au mpenzi wako anafanya mazoezi na diet ili awe vizuri afu wewe umekalia kufuga kitambi lazima utachapiwa tu hakuna namna yaani

Ni tahadhari tu maana I have seen enough na sio Wanawake Wote Wenye mchezo huo wengine wanajiheshimu
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad