Nay Wamitego Arusha Jiwe Gizani Auliza Unatuchezea Sinema Hadi Wana..!!!?


Sakata la kutekwa kwa Roma limezidi kupamba moto baada ya Nay kushitukia Rafiki yao aliwachezea sinema.

Kwenye ukurasa wake ameandika haya.

naytrueboy1. Unatuchezea Sinema mpaka wana.?! F***k.! Njaa zitatuua. 
#Wapo☝️

naytrueboy2. Una Sign mkataba wa kucheza Sinema yenye Quality Mbovu, Tena inayo Rekodiwa kwa Camera ya Simu.?! Unategemea nini.? Nakuvua vyeo ata Kama Mkataba ni Mnono, Itaku Cost tu na utayumbisha Career yako.!
Mwana Katoa Bokoo.!

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad