Noma Sanaaa..Mange Kimambi Awachana Wabunge wa Upinzani..Hiki Ndicho Alichokiandika Leo..!!!


Upinzani punguzeni Jazba ...Mnajikweza Sasa.. Sijui Bashite kawaloga... Speaker angekaa kimya kwenye hili ndo yangekuwa yale Yale ya double standards tunayoyakataa kwa Rais Magufool na Bashite... Kama Bashite anashughulikiwa kwa kulidhalilisha bunge kwa kusema wabunge wanalala tu Inabidi Hata nyinyi mliheshimu Bunge...Bashite aliitwa mbele ya kamati ya maadili na alifika why nyinyi mgome? Hatutaki double standards Jamani!!!!Hata kama hamkupenda maamuzi yake hamtakiwi kumtukana speaker.. nendeni Jamani bila kukamatwa mlimalize hili ili tuendelee na Bashite mbona mnaunguza picha sasa? Haki mganga wa Bashite kibokoooooo... Badala ya kumshighulikia Bashite Bunge limebaki kutifuana wenyewe kwa wenyewe... So stupid! 😏😏 .
.
Huyu spika amekuwa very fair kwa wabunge woote, msimtibue tafadhali. Mdee umemkosea sana spika huwezi kumwita fala aiseeeee. Especially spika kama Ndugai....Na ukweli inabidi usemwe, tatizo haikuwa wagombea wenu tatizo ni Chadema hakuna demokrasia ya kweli, sio kwenye viti maalum sio kwenye nini.. You guys have to change!! Period!
.
.
Ushauri wangu kwa WaBunge Wa upinzani hayo mambo ya kutoa lugha kali yanawaharibia mnooo. Muache mara moja.Nyinyi ni wabunge, lugha chafu tuachieni sisi tulioko kitaa. .

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa huyu malaya kama nani asishughulikiwe anamwita raisi wa watu mjinga (fool)? Wakati mwengine sisi watanzania kujifanya kujua kwingi kumbe hatuna lolote. Hata kwenye nchi yenye uhuru wa kuongea kama Marekani kukaa kwangu kote zaidi ya miaka 20 sijawahi kumsikia mtu anamwita raisi mjinga. Licha ya vurugu zake Trump hajawahi kutokea mtu akamwita mjinga. Watanzania inanidi tujitafakari na tuheshimiane kwani kumwiita raisi wa nchi mjinga ni kuwatukana watanzania wote.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad