RAIS Magufuli Awajibu Kiana Wabunge Wanaolalamika Kutekwa na Wanaotaka Mikutano ya Kisiasa

#NUKUU:"Wanasiasa tuiache serikali ya CCM ifanye kazi yake, mambo mengine tukutane mwaka 2020,Tutangulize Tanzania kwanza, siasa baadaye, watanzania wanataka maendeleo, hakuna Mtanzania anayekula siasa”Rais Magufuli.

"Ukiwa dereva wa lori, hutakiwa kusikiliza watu uliowapakia wanaimba nini au wanatazama wapi, wewe endesha lori uwafikishe salama. Dereva mzuri huwa hasikilizi watu aliowapakia wanasema nini, au haangalii kule wanapoangalia wao. Hili lori la maendeleo litafika.


Tunajua tunapokwenda, asitokee mtu anayetaka kubadilisha ajenda yetu tuanze kuzungumzia mambo ambayo hayapo kwenye ilani ya chama." - Rais Magufuli #UjenziWaReliYaKisasa

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni vigumu kuelewa Raisi wetu kutokufungamana na Bunge. Hii sijawahi kuisikia popote Duniani. Je wananchi wakiiga kuto kukiheshimu chombo hiki matokeo ni nini? kuwadharau kundi la Wabunge na kumkumbatia Makonda, au Bushiri ambaye kavamia studio.Hapa haileti picha Kwa Raisi wa nchi kufanya hivi. Kiti cha uraisi ni kiti cha kuheshimika nchini hii Chatting, ?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hayo unayoyashangaa ni taratibu,huwezi kuwa kiongozi unayefukuza watu kwa kusikiliza upepo na mafilimbi ya walioshindwa.Anakutoa kwa document za uozo wako.Kwa mini Leo cc tusikushangae wewe ambaye Jana ulimwambia rais mtarajiwa wako kuwa in mwizi,mkwapuaji,fisadi,mwongo,na ulipambana kwelikweli MTU huyo akajiengua kuogopa fedheha zaidi,lakini Leo DTI unamkumbagia MTU huuohuyo eti awe Raid wetu!!Hivi mnadhani wanzania wamegikia hapo kwa kutoyajua mambo!? Wacha mzee wetu achape Nazi,tunampenda.Na hao unaodhania were kuwa haawafai kwababu umezikosa mbivu,cc twaona ni wachapakazi

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad