Rasmi..Spika Ndugai Afuta Matumaini ya CCM Kuhusu Wabunge wa Chadema Bunge la Afrika Mashariki...!!!


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Job Ndugai ameeleza kwamba nafasi mbili za Ubunge wa Afrika Mashariki (EALA) ambazo hazikujazwa bado ni nafasi za CHADEMA.

Amesema kuwa Katibu wa Bunge ambaye ni Msimamizi wa Uchaguzi atatoa mwongozo ni lini mchakato huo utafanyika.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad