
Habari njema kutoka kwa hitmaker wa Kwetu, Raymond. Staa huyo na mpenzi wake, Fahyma wamebahatika kupata mtoto.
Taarifa za kupata mtoto zimetolewa na Rayvanny kupitia Instagram.
“Hongera @fahyma_ Umekua Mama sasa Acha utoto NAKUPENDA!!,” ameandika msanii huyo wa WCB.
Tunawapongeza wawili hao kwa hatua hiyo.