
Baada ya Shamsa Ford kuibiwa akaunti yake ya instagram
"Ikishindikana kabisa akaunti yangu kurudi kwa yule ambaye amenifanyia huo ujinga nitamshtakia Mwenyezi Mungu, mimi ni mtoto wa kiislamu, nitasoma Al-badil ili Mwenyezi Mungu anijibu kwa hili"- Shamsa Ford
Mshauri kwa neno moja.
BORA UUTANGAZIE UMMA KABLA YA KUISOMA,HICHO KISOMO NI NOMA.
ReplyDelete