Simba Kufunguka Kinachoendelea Katika Soka Nchini leo


Mkuu wa Habari wa Simba Sc, Haji Manara. 

Klabu ya Simba inapenda kuwaarifu waandishi wa habari, itakuwa na mkutano wake ‘MAALUM’ na wanahabari kesho saa tano na nusu asubuhi ya tarehe 19-4-2017. Kikao kitakachofanyika makao makuu ya Club mtaa wa Msimbazi Kariakoo. 

Mkutano huo unalenga kutoa ufafanuzi mpana wa kinachoendelea kwenye mchezo wa soka unaopendwa na kushabikiwa sana kote nchini na duniani kwa ujumla. 

IMETOLEWA NA.. HAJI S MANARA 

Mkuu wa Habari wa Simba Sc. 
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad