STEVE Nyerere: Harakati za Makonda kwa Bongo Movie ni Batili na za Kujitafutia Umaarufu..!!!!


Steve Nyerere amedai kuwa kupigania Bongo movie dhidi ya maharamia wa filamu feki ni batili na za kujitafutia umaarufu kwa kuwa hilo ni suala la kitaifa linalotakiwa kuratibiwa nchi nzima na wakuu wote wa mikoa na polisi na sio Dar tu kwa kuwa vitu vingi vinavyovyoanzishwa hapa Dar vinafeli,

Pia alisema pia Makonda aliwaita watu watano, na tasnia ya filamu haiongozwi na watu hao

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hapo umenena so ukiwa mkweli one day some day you will lead the ...... byt simama na haki always sii kama ile kesi kuhusu wema sepetu na mama ake ulitamka halafu ukakanusha while uliongea na kila mtu alisikia

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad