Ila kwa interview aliyofanyiwa na EATV huenda TID keshayarudia...
Jamaa anadai jina lake la TID aitwe na watu wa mikoani tu sababu ni kuwa jina hilo ni maarufu kupita kiasi, watu wa Dar wamuite Khaleed au mnyama huku akiongea kama ana wenge flani hivi..
Tazama Video:
HUYU MUOMBENI MUNGU TU .KWANI MUNGU PEKEE ANAWEZA MSAIDIA.
ReplyDelete