
Timu ya Bwana Samatta inayocheza Europa League Jana imechezea Kichapo kutoka Timu ya Celta wakiwa ugenini....Matumaini bado yapo kama anavyoandika mtaalamu wa MICHEZO Shaffih Dauda hapa Chini:
.
.
Kutoka kwa @shaffih - Genk wanarudi Belgium wakiwa wanahitaji goli 1 bila kuruhusu Celta kufunga na watafuzu kucheza nusu fainali ya Europa League. #HainaKufeli