Tuambiane Ukweli Tu...Mwanamke Unajijua Upo Period, Unafuata Nini kwa Mpenzi Wako?


Hawa viumbe kwa kweli wanaukakasi sana au niseme tuu sijui ni laana au laa hivi kiukweli una dem na umemmis sana mnakubaliana muonane mfanye yenu alafu anakuja mnakaa mnakunywa mnafurahia mnachukua hotel uku mwanaume upo hot mbaya mnafika ndani alafu anakuambia yupo kwenye siku zake... Hivi hapa unategemea nini jamani kama siyo kuumizana tuu? 

Hii kitu imenitokea imeniuma sana na siyo mara moja kwa kweli hivi ni kwa nini?
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tukiwaambia tupo tukiwa makwetu hamuamni. So tunakuja ili mjionee wenyewe

    ReplyDelete
  2. Tukiwaambia tupo tukiwa makwetu hamuamni. So tunakuja ili mjionee wenyewe

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad