TUNDU LISSU 'Sioni Ushujaa Wowote wa Nape Nhauye'


TUNDU LISSU "Sioni Ushujaa Wowote wa Nape Nhauye"
.
.
Huyu mtu amezima bunge na kulivuruga kweli kweli. Amefungia magazeti. Akiwa waziri amepitisha sheria mbovu ya huduma za habari. Sioni ushujaa wowote bali amevuna matunda ya kazi yake na siasa za ndani ya CCM.

Nape namfananisha na mtu anayeitwa Tawia Adamafyo aliyepata kuwa waziri wa Ghana enzi za Kwameh Nkurumah.
Huyo Tawia hakujua sheria anayotunga inatengeneza rat trap (mtego wa panya). Kilichotokea ni yeye kuwa wa kwanza kuwekwa kizuizini kwa kutumia sheria hiyo baada ya maafisa usalama kutegesha bomu karibu na eneo alilokuwa akihutubia Rais Nkurumah na hivyo waziri kuonekana alihusika.
. .

Hawa viongozi wanatunga sheria wanazodhani zitawabana wapinzani peke yao. Yakiwakuta wao, wanapiga kelele. Kwahiyo mimi sioni ushujaa wowote wa Nape" Alieleza Mhe Tundu Lissu wakati akihojiwa na kazeti moja la kila siku. .
.

Nini maoni yako?
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad