UREMBO Wa Mapazia Unavyopendezesha Nyumba...!!!


Tunapozungumzia mitindo na utanashati, tunalenga mtu binafsi pamoja na mazingira yanayomzunguka, kuanzia mavazi yake, mwonekano, miondoko, mazingira ya nyumba au makazi, yanayopaswa kuwa katika hali inayoridhisha wakati wote.

Ingawa siyo lazima, lakini ni muhimu mwonekano wa nje wa mtu binafsi kwenda sanjari na mazingira unayoishi bila kusahau nyumba na mpangilio wake kwa jumla.

Katika mitindo leo tumegeukia mwonekano wa ndani ya nyumba hasa pazia pamoja na kufunika madirisha na milango pia pazia hutumika pia kama moja ya mapambo mazuri ya nyumba.

Ili mapazia yawe na mwonekano mzuri ndani ya nyumba ni vyema yakatundikwa kwenye mabomba hayo, ambayo yametengenezwa maalumu kwa ajili ya kazi hiyo.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad