Ushauri Please..Mpenzi Wangu Kanitambulisha Mume Wake Mtarajiwa..!!!


Bila kupoteza time, Nina mpenzi wangu ambae nimedumu nae kwa muda Wa mwaka mmoja sasa, wiki kadhaa zilizopita aliniaga anaenda Arusha amepata kazi katika hotel ya kitalii 

Ila Jana kanitumia picha WhatsApp akiwa na jamaa mwengine na kunitambulidha kuwa ni mume wake mtarajiwa... 

Wakuu nimechanganyikiwa na ujumbe huu.. Binafsi bado nampenda Sana na sijategemea hili kwa muda huu.. Mimi ni mwanaChuo mwaka Wa pili UDSM na kuhusu mapezi nilikua namtimizia barabara mpaka mwenyewe anafurahia show. 

Najiuliza nini kimemsibu!!! 

Naomba ushauri wakuu

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad