Video: John Cena Amchumbia Mpenzi Wake Mbele ya Mashabiki..!!!


Usiku wa Jumapili hii John Cena amefanya jambo lililomshtua moyo mpenzi wake Nikki Bella ambaye amedumu naye kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka mitano.

Cena alimvalisha pete mchumba wake huyo ambaye na yeye ni mcheza mieleka baada ya pambano lao dhidi ya Miz na Maryse mbele ya mashabiki 75,000 waliokuwepo katika uwanja wa Orlando.

Kabla ya kumvalisha pete hiyo, Cena alimuuliza Bella, “I said, do you know, one day I’m gonna marry you? You said, ‘Yes’.”

“I just need you to say yes one more time,” aliongeza.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad