VIDEO: ‘Kuna Wabunge Wanakaa Hapa Wanashindwa Kuiambia Serikali Ukweli’-Halima Mdee

Mbunge wa Kawe kupitia CHADEMA Halima Mdee ni miongoni mwa wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni leo April 10, 2017 kuchangia maoni yao kuhusu mapitio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi ya Waziri mkuu na ofisi ya bunge kwa mwaka wa fedha 2017/2018.

VIDEO

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wabongo ni waoga sana, bunge letu limejaa wasomi lakini ni waog asana hat ama profesa wanashindwa kukemea chochote.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni moja ya tabia za kisomi kujenga hoja za kimsingi na evidence ya kutosha in a constructive manner na si tu kupiga makekele ya ovyo ovyo tu eti kusudi tu ionekane wameingea . Naona wanafanya vyema kutoongea ovyo ovyo. Hiyo ndo tofauti kati yao na wengine. Hongera wasomi

      Delete
  2. Acha, Wabunge mizigo hawa. Wapo CCM wanasahau wamechaguliwa na watu vijijini. Waoga, na wengi hawana sifa. Kupokea mishahara, kumridhisha raisi. Wengi wao ni CCM.CCM ni ileile. Mfumo mbovu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad