WANAWAKE Kuwani Basi Wavumiliza Sauala la Kuomba Pesa Upoanza Uhusiano na Mwanaume

Ladies wengi hapa mjini siku hizi mnaexchange namba za simu jioni halafu kesho yake asubuhi anaomba laki moja ya kusuka hua sielewi. It sounds like ROBBERY. I know maisha ni magumu na pesa imekua changamoto kidogo ila nawaza kwa sauti kwamba kuna umuhimu wa kuwa wavumilivu kidogo. You might be making a lil'bit of a bad impression. Sisi wanaume unaweza kuwa na 100mil kwenye akaunti ya benki ila mwanamke akashindwa kukufanya umpatie hata elfu 10. Learn ladies, learn!!!

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad