WEMA Atoa Povu Jingine kwa Wasanii wa Bongo Movie..Haya Ndio Aliyotiririka Leo..!!!!


STAA wa filamu na malkia wa mtandao Bongo, Wema Abraham Sepetu ‘Maddam’, amewafungukia wasanii walioandamana Kariakoo wakidai kuwa filamu zao haziuzi kutokana na mfumo wa usambazi wa kazi zao uliopo jijini Dar.

Madai hayo yamezuia mijadala kila kona ya jiji na nje ya Dar es Salaam. Wema amechapisha katika ukurasa wake wa Instagram na ujumbe unaosomeka hivi:

“Deni tulilonalo kwa Watanzania tu na vingine.”

Aidha, msanii wa muziki wa kizazi kipya Nikki wa Pili naye alichapisha ujumbe unaofanania na huo huku wote kwa pamoja wakisisitiza ubunifu katika kazi za sanaa na vinginevyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad