WOLPER Acharukia Wasanii Wenzake..Adai Ni Wanafiki wa Kiwango cha Lami..!!!


Staa mwenye kiwango cha juu Bongo Muvi, Jacqueline Wolper Massawe amefunguka kuwa, wasanii wengi waliopo kwenye tasnia ya filamu ni wanafiki na wanafuata mkumbo, hawako kiuhalisia.

Akizungumza na Showbiz, wakati wa maandamano ya kupinga wizi wa kazi zao na uingizwaji na uuzwaji holela wa sinema za nje, Wolper alisema kuwa, wasanii wangekuwa na umoja wangeungana siku hiyo kwa ajili ya kujua hatima ya kazi zao wanazozifanya na zinazowaweka mjini, lakini kwa kuwa wengi ni wanafiki imeshindikana.

“Nachukizwa na unafiki Bongo Movi, kwa kweli unakera sana, hawako kiualisia ndiyo maana kufika tunapotaka ni ngumu sana,” alisema Wolper.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. yeye mwenyewe ni mnafiki kuliko hao alowataja.Sagaji mnuka K. mkubwa.

    ReplyDelete
  2. Bashite kawaingiza mkenge! sasa mnatapatapa. kajambe kuleeeeee. sagaji la dar.

    ReplyDelete
  3. wolper kasafishe Nyapu kwanza than ulete habari za wasanii na cinema zao za vichochoroni.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad