Mbunge wa Kigoma Mjini.Zitto Kabwe Ametanabaisha kuwa yupo tayari kutoa Ushahidi wake bungeni kuwa waliovamia Studio la Clouds Tv na Kumtishia Makonda Bastola ni maafisa Usalama wa Taifa.
Hivi Karibuni wabunge wa Upinzan na CCM Wamekuwa wakilaani vitendo vinavyoendelea nchini vya kutekwa kwa watu huku wakidai kuwa vimekuwa vikifanywa na maafisa usalama wa taifa kwa Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda.
mbunge mbona hamzungumzii hoja za maana mpo na CLOUD kwa hiyo sasa mambo ya cloud semeni basi hata hoja bungeni yaani wewe ndio Rais umekuwa kama Bashite na Gwajima kwenda cloud kuwasindikiza vijana watangaze kama Gwajima ana mtoto nje KHA tuko HOI na mambo ya siasa za BONGO tunaomba OJA za MAANA mambo ya cloud yata shungulikiwa na IDARA husika
ReplyDelete