114 Wakutwa na Vyeti Feki Muhimbili..!!!


Wafanyakazi 114 wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wabainika kuwa na vyeti feki na kutakiwa kufuata agizo la Rais Magufuli kuachia nafasi hizo kwani hawana sifa tena za kuendelea kuwa watumishi wa Umma

Katika taarifa aliyotolewa jana na Mkurugenzi Mtendaji Prof. Lawrence Museru imesema kuwa kwa mfanyakazi yoyote ambaye hajaridhika na uamuzi huo kuhusiana uhalali wa vyeti vyao wakate rufaa kwa Katibu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi ya Umma na Utawala bora kabla au ifikapo tarehe 15 Mei, 2017.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. AsanteMungu kwa kutuletea mh.rais magu..n God will stand for u.protecting us .wanyonge....

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad