Akiongea katika Kikaango cha EATV Jumatano hii, Shilole amedai anampenda Diamond kutokana na vile alivyo pamoja na vitu anavyofanya.
“Mimi namkubali zaidi Diamond Platnumz kuliko Alikiba,” alisema Shilole. “Nampenda Diamond kutokana na mambo yake na vile alivyo, kwa hiyo kila mtu ana watu anaowakubali na kuwapenda,”
Katika hatua nyingine Shilole amedai yeye alishtuka mapema na kuchomoka kwenye tasnia ya Bongo Movie maana kama aliona kuwa mbele itakuja kuyumba.
Alisema yeye ameridhika na muziki kwani muziki unamlipa na umempa mafanikio makubwa ambayo kama angekuwa kwenye filamu huenda asingeyapata.
hana muda na shabiki uvundo.
ReplyDeleteshilole kajipendekeza kwa Domo siku nyingi. ajabu wamemsusa sijui ndo kaamua kuja na gea mpya. hayupo kwenye time table ya Kiba aache unafiki.
ReplyDeletekadodaaa! anatapata Nuhu kajua kumuweza, kabakia kuhaha hana jipya shishi kauze vitumbua.
ReplyDeleteUnamchukia Ali kwa sababu alimsaidia Nuhu kukunanga kwenye janamke Shupa... Lakini Ali ni mwanamuziki mzuri tu na anajua kuimba na sauti yake ni nzuri sana.
ReplyDeletechizi la Igunga hiloo. linataka kumbaka Dai sasa. anaona Hamisa anafaidi sana. kuliko bibi yake Zari.
ReplyDeletemadada poa wako wengi siku hizi. wanajiuza kiaina ili Bashite asiwastukie.
ReplyDelete