Alichosema Miss TZ Diana baada ya kupewa gari lake miezi 6 baada ya fainali (+video)

Miss Tanzania 2-16 Diana Edward ameongea baada ya kukabidhiwa zawadi ya gari aliyoahidiwa kwenye mashindayo hayo yaliyofanyika October 2016.

Diana amesema hakukata tamaa kuhusu kuisubiria zawadi yake hata kama imechukua miezi 6 baada ya fainali yenyewe kufanyika na kwamba hata yeye hajui ilikuaje japo wakati wa shindano kuna gari lilionyeshwa kwamba ndio ilikua zawadi yenyewe.

‘Nilikua nategemea kupata gari dogo lakini sijui ni aina gani… na kuhusu kuchelewa kupata zawadi siwezi kulaumu sana kwasababu kila mtu anajua sasa hivi uchumi wa nchi umeshuka, namshukuru Mungu tu‘

Kutazama FULL VIDEO ya Diana akiongea bonyeza play hapa chini…

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Uchumi umeshuka watu wamebanwa. !!!!!! Weeeee acha izo. SEMA tu ukweli. Wamebanwa Kila nyanja walizoea wizi, ufisadi, rushwa, Kila Aina ya uchafu na machukizo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad