Askofu Gwajima awajia juu wanaoizungumzia nchi vibaya


Dar es Salaam.Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amewaonya baadhi ya watu wanaoiongelea vibaya nchi akiwataka waache mara moja kwa kuwa wanachochea uvunjifu wa amani. 

Askofu Gwajima amesema kinachotakiwa watu waizungumzie nchi vizuri kwa kuwa amani itakuwepo na uchumi wa nchi utaendelea kukua. 

"Namkemea yule mtu ambaye anaiongelea vibaya nchi yetu huwezi ukawa unatoa kinywa kinachoashiria uvunjifu wa amani," 

"Huwezi kila siku unalaani kwa kuiongelea vibaya nchi yetu lazima nikemee ili nchi yetu iweze kuendelea kuwa na amani,"amesema Gwajima katika mahibiri kanisani kwake leo.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Panapotakiwa kuomgelea lazima pasemwe. Acheni dini kwenye siasa. Ni dini zilitupumbaza Africa na bado zinatupumbaza na kutuchanganya waafrika. Inabidi watu waelimike ili wajikwamue kifikra. Dini zilitupeleka utumwani. Zimetufanya waafrika wengi kujisokia inferior, kutokujiamini. Zimetufanya tuwategemee wazungu. Zimetoa dini zetu za jadi na ktoa uzalendo.no propaganda kubwa inayotumika kuwapumbaza watu.ngu u zinazotumika kwenye dini zingepelekwa kwenye elimu ya kujikomboa kimaendeleo nchi hii ingekuwa m ali sana. Siasa chafu pia zinarudisha maendeleo ya watu nyuma. Ila elimu dini zinatawala na dini za sasa nyingi zinachukua pesa nyingi kwa maskini. Ni Mungu tu ajuaye.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad