AUDIO: Watu Wanachonga Sana Kuhusu Mimi - Lazaro Nyalandu Afunguka

Mbunge Lazaro Nyalandu amefunguka na kusema kuna watu wamekuwa wakiongea sana juu ya kitendo cha yeye kuwasaidia watoto watatu, ambao ni majeruhi wa ajali kwa kuwasafirisha kuwapeleka Marekani kwa matibabu akishirikiana na shirika la STEMM's.

Mbunge Lazaro Nyalandu akiwasalimiana na moja wa Rubani wa ndege iliyotumika kuwabeba majeruhi wa ajali ya basi la Lucky Vicent, walipokuja Tanzania.

Akiongea kwenye kipindi cha East Africa Breakfast cha East Africa Radio Nyalandu anasema mbali na kuwasaidia hao watoto kuwapeleka kwenye matibabu lakini tayari wameshafanya mambo mengi nchini ikiwa pamoja na kusomesha wanafunzi zaidi ya elfu kumi, kuleta madaktari bingwa nchini jambo ambalo walikuwa wakifanya bila kusema au kujitangaza.

Msikilize hapa akifunguka mengi zaidi:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad